Mark 9:42

Kusababisha Kutenda Dhambi

(Mathayo 18:6-9; Luka 17:1-2)

42 a “Kama mtu yeyote akimsababisha mmojawapo wa wadogo hawa wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa baharini.
Copyright information for SwhNEN